Kiguu Na Njia Lyrics – Jay Melody

Kiguu Na Njia Lyrics - Jay Melody

Lyrics of Kiguu Na Njia by Jay Melody

Read the full Kiguu Na Njia lyrics by Jay Melody along with the music video, song credits, release information and other details about the song. If you enjoy Jay Melody’s music, you can also explore Nazama and Tila Lila, two other songs by Jay Melody.

[Intro]
Anhaaaa anhaaa
Onhooohho once again
Onhooo

[Verse 1]
Walisema mapenzi dawa, ohoh
Ila kwako nilipata ugonjwa, ah
Ukanilisha bila kunawa, oohoh
Madharau hukua na uoga
Ndo maana nimekukata
Nimekuzimia taa

Mwenye roho ya paka
Usiye wahi ridhika
Mapema nilijua
Mbali hatutafika
Kipi kinakuwasha?
Mbona wahangaika, anhaa

[Pre Chorus]
Habari zako nimezisikia mbali
Yamaanisha wewe kiguu na njia
Unazunguka kusambaza vidosari
Hakuna baya mimi nilokufanyia

[Chorus]
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga, wewe
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga, wewe

[Bridge]
Ona nanananah

Ono nonononoh
Ona nanananah
Onaaaaaaah aah

[Verse 2]
Sasa natulia jinsi napatiwa raha za dunia (Acha iyo)
Anazingatia tabasamu langu nisije kulia (Acha iyo)
Na tena fundi wa mapenzi amejaaliwa (Acha iyo)
Kajawa hisia, mahaba asilimia mia, onhoo
Ulitaka nikongoroke, oooh
Niwe hoi yani nichoke, aah
Kwenda huko wewe cha wote, oooh
Huna jambo, huna lolote, aaaah

[Pre Chorus]
Habari zako nimezisikia mbali
Yamaanisha wewe kiguu na njia
Unazunguka kusambaza vidosari
Hakuna baya mimi nilokufanyia

[Chorus]
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga, wewe
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga, wewe

Kiguu Na Njia Song Credits & Production Details

Song Title Kiguu Na Njia
Singer(s) Jay Melody
Musician(s) Jay Melody
Lyricist(s) Jay Melody
Language Swahili

More Songs by Jay Melody

Frequently Asked Questions About Kiguu Na Njia Song

Who is the singer of the song ‘Kiguu Na Njia’?

The song ‘Kiguu Na Njia’ is sung by Jay Melody.

Who wrote the song ‘Kiguu Na Njia’ by Jay Melody?

The song ‘Kiguu Na Njia’ by Jay Melody is written by Jay Melody.

Who produced the music for the song ‘Kiguu Na Njia’?

Music of the song ‘Kiguu Na Njia’ is produced by Jay Melody.

More Lyrics for You

Disclaimer

“This concludes the lyrics of Kiguu Na Njia” by Jay Melody. The lyrics shown here are intended purely for educational use. We honor the work of artists and stand against copyright infringement. If this song resonates with you, please show your support by engaging with the original creators.

If you find any errors in it, please feel free to submit the correct version via the Contact Us section.