Mara Ya Kwanza Lyrics – Jay Melody

“Mara Ya Kwanza” Lyrics by Jay Melody is a latest Swahili song in the voice of Jay Melody. Its music too is composed by singer while brand new “Mara Ya Kwanza” song lyrics are also written by Jay Melody. This is a popular song among the people of United States of America. “Mara Ya Kwanza” by Jay Melody talks about the emotions and lessons learned from first-time experiences in life. The song reflects on the pain and confusion that come with new relationships, heartbreak, and realizing certain things only after they happen for the first time. It explores the vulnerability, growth, and challenges of those “first” moments, from love to life advice, showing how they shape one’s perspective.

Mara Ya Kwanza Lyrics

[Intro]
Come on, let’s go Jay
Aii

[Verse 1]
Mara ya kwanza
Mara ya kwanza kuingia
Nikawa ka nasikilizia
Uku natafuta njia
Nisije nikaumia, ok

[Chorus]

Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 2]
Mara ya kwanza kutumia
Nilizunguka dunia
Nikamuuliza baharia
Mbona sa nasinzia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 3]
Alinambia kwamba hili swala letu halina uzito
Anakuaga sawa hata kama mimi nikiwa sipo
Mambo ya kutojua ndo nikachukulia tu simple
Ameshapata mpenzi yule tulikutana nae disco
Mara ya kwanza kuumia
Siku iyo nililia
Mambo ya kuhusu hisia

Sitaki kuyasikia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 4]
Mara ya kwanza niliambiwa
Acha umalaya, tulia
Mambo yaku fakamia fakamia
Ah kumbe familia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 5]
Kuna watu wanapenda sifa
Wakipanda mnazi
We nazi mbili tatu, nne tano sita
Mkononi kashikilia picha
Anaufanya uhuni
We nazi mbili tatu, nne tano sita
Mara ya kwanza, my dear
Uchungu utasikia
Pale ikichanganyia
Ndo utamu unaingia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 6]
Mara ya kwanza ukipewa
Kwanza usilambe, tulia
Pipi ya kumegewa
Yenye utamu wa maziwa
Ok, okay

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza, ai wee
Ndo mara ya kwanza, oyeh
Ndo mara ya kwanza, ai wee
Ndo mara ya kwanza

[Outro]
Come on, let’s go Jay

Jay Melody Songs

Mara Ya Kwanza Lyrics Meaning

[Intro]
The intro is an energetic start, saying “let’s go Jay” with excitement.

[Verse 1]
It’s about the first time entering a situation, being cautious to avoid emotional pain while figuring things out.

[Chorus]
The repetition of “Ndo mara ya kwanza” highlights experiencing something for the first time.

[Verse 2]
The speaker talks about exploring the world for the first time, asking someone for guidance while feeling uncertain.

[Chorus]
Repeats the theme of facing something new for the first time.

[Verse 3]
The speaker is told their relationship isn’t serious and they shouldn’t worry about their partner’s actions. They experience heartbreak for the first time, feeling hurt and avoiding emotional matters.

[Chorus]
Repeats the theme of facing something new for the first time.

[Verse 4]
Someone advises the speaker to stop living recklessly and focus on family, showing the importance of responsibility.

[Chorus]
Repeats the theme of facing something new for the first time.

[Verse 5]
The verse talks about people seeking attention, using photos for show, and how the first experience of hurt teaches a deeper lesson about life’s complexities.

[Chorus]
Repeats the theme of facing something new for the first time.

[Verse 6]
The speaker advises taking things slow, not rushing into things, comparing it to savoring a sweet treat.

[Chorus]
The chorus repeats, emphasizing how first experiences are significant and memorable.

[Outro]
Ends with an excited and energetic “let’s go Jay,” echoing the start.

FAQs

Q. Who has sung Mara Ya Kwanza song?
A. Mara Ya Kwanza song is sung by Jay Melody.

Q. Who wrote Mara Ya Kwanza lyrics?
A. Mara Ya Kwanza lyrics are penned by Jay Melody.

Q. Who has given the music of Mara Ya Kwanza song?
A. Mara Ya Kwanza music is composed and produced by Jay Melody.

“This concludes the lyrics of Mara Ya Kwanza” by Jay Melody. If you like this song please share it with your friends and family in USA. If you find any errors in it, please feel free to submit the correct version via the Contact Us section.