Copy & Paste Lyrics – Ibraah

Copy & Paste Lyrics - Ibraah

Lyrics of Copy & Paste by Ibraah

Oye wee
Aauugh
City boy tz what’s up
Wamilemre

Gilly twende
Shout out to my crew
Wamilembe
Tuko gang gang
Kandegang gako
Wamilembe
Oya wee oya

Beautiful girls give me some
Shout out to my baby

Oye we, picha linaanza kama ndoto
Najiona kama ndio nimezaliwa
Nilichogundua dunia ni utoto
Nilipodundua mi maiti mtarajiwa

Dunia niatisha
Wakrti we unapambana kusali
Kuna wanga wanakudmber ufeli
Riziki ndio kisa
Wanakabana wananyongana

Waambie kama life boti haachwi mtu feri
Wanangu mtaji pumzi si unapumua
Tunapumua mwanetu
Struggle za life we siunajua
Tunajizua mwanetu
Wanangu wa temeke
Waliimba kamur ah

Life si unajua unajua
Ni kukamua mwanetu
Life ni ku run run

Shida za kitaani taani
Kwani asozijua ni nani
Tunazijur mwanetu
Iwe nyeus ama kijani
Kwenye riziki hakuna utani
Kama gheto tunafua
Ni kukamua mwanetu

Oyaa
Ni ku copy na ku past
hafla maisha yamekuwa mepesi
Kwa mchizi wa bongo
Ana copy ana paste
Oya we oya oya oya oya

Oya wana ni copy na ku past
hafla maisha yamekuwa mepesi
Kwa mchizi wa bongo
Ana copy ana paste
Oya we oya oya oya oya

Gilbert mchizi wa tandale
Alikuwa anauza mihogo koko
Skuizi anaishi madale
Amejipata
Fata ndoto zako usifate za wale
Watakupoteza
Ngumi ya kichwa chapa ikalale

Ni utata
Pakanja pakanja
Sister duu kala modo
Brother men kapaka wanja
Vunga ukitukuta viwanja
Jicho jekunduu
Yebaaa

Oye we, japo hatujakula ganja
Wanangu mtaji pumzi si unapumur
Tunaumua mwanetu
Struggle za life we siunajua
Tunajizua mwanetu
Wanangu wa temeke
Waliimba kamur ah

Life si unajua unajua
Ni kukamua mwanetu
Life ni ku run run
Shida za kitaani taani
Kwani asozijua ni nani
Tunazijur mwanetu
Iwe nyeus ama kijani
Kwenye riziki hakuna utani
Kama gheto tunafua
Ni kukamua mwanetu

Oyaa
Ni ku copy na ku past
hafla maisha yamekuwa mepesi
Kwa mchizi wa bongo
Ana copy ana paste
Oya we oya oya oya oya

Oyaa wana ni copy na ku past
hafla maisha yamekuwa mepesi
Kwa mchizi wa bongo
Ana copy ana paste
Oya we oya oya oya oya

Oyaa wana ni copy na ku past
hafla maisha yamekuwa mepesi
Kwa mchizi wa bongo
Ana copy ana paste
Oya we oya oya oya oya

Copy & Paste Song Credits & Production Details

Song Title Copy & Paste
Singer(s) Ibraah
Musician(s) [?]
Lyricist(s) Ibraah
Language English

Frequently Asked Questions About Copy & Paste Song

Who is the singer of the song ‘Copy & Paste’?

The song ‘Copy & Paste’ is sung by Ibraah.

Who wrote the song ‘Copy & Paste’ by Ibraah?

The song ‘Copy & Paste’ by Ibraah is written by Ibraah.

Who produced the music for the song ‘Copy & Paste’?

Music of the song ‘Copy & Paste’ is produced by [?].

Disclaimer

“This concludes the lyrics of Copy & Paste” by Ibraah. The lyrics shown here are intended purely for educational use. We honor the work of artists and stand against copyright infringement. If this song resonates with you, please show your support by engaging with the original creators.

If you find any errors in it, please feel free to submit the correct version via the Contact Us section.