Mara Ya Kwanza Lyrics – Jay Melody

Mara Ya Kwanza Lyrics - Jay Melody

Read the full Mara Ya Kwanza lyrics by Jay Melody along with the music video, song credits, release information and other details about the song. If you enjoy Jay Melody’s music, you can also explore I Don’t Know and Hawatoi, two other songs by Jay Melody.

[Intro]
Come on, let’s go Jay
Aii

[Verse 1]
Mara ya kwanza
Mara ya kwanza kuingia
Nikawa ka nasikilizia
Uku natafuta njia
Nisije nikaumia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 2]
Mara ya kwanza kutumia
Nilizunguka dunia
Nikamuuliza baharia
Mbona sa nasinzia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 3]
Alinambia kwamba hili swala letu halina uzito
Anakuaga sawa hata kama mimi nikiwa sipo
Mambo ya kutojua ndo nikachukulia tu simple
Ameshapata mpenzi yule tulikutana nae disco
Mara ya kwanza kuumia
Siku iyo nililia
Mambo ya kuhusu hisia

Sitaki kuyasikia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 4]
Mara ya kwanza niliambiwa
Acha umalaya, tulia
Mambo yaku fakamia fakamia
Ah kumbe familia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 5]
Kuna watu wanapenda sifa
Wakipanda mnazi
We nazi mbili tatu, nne tano sita
Mkononi kashikilia picha
Anaufanya uhuni
We nazi mbili tatu, nne tano sita
Mara ya kwanza, my dear
Uchungu utasikia
Pale ikichanganyia
Ndo utamu unaingia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 6]
Mara ya kwanza ukipewa
Kwanza usilambe, tulia
Pipi ya kumegewa
Yenye utamu wa maziwa
Ok, okay

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza, ai wee
Ndo mara ya kwanza, oyeh
Ndo mara ya kwanza, ai wee
Ndo mara ya kwanza

[Outro]
Come on, let’s go Jay

Mara Ya Kwanza Song Credits & Production Details

Song Title Mara Ya Kwanza
Singer(s) Jay Melody
Musician(s) Jay Melody
Lyricist(s) Jay Melody
Language Swahili

More Songs by Jay Melody

Frequently Asked Questions About

Who is the singer of the song ‘Mara Ya Kwanza’?

The song ‘Mara Ya Kwanza’ is sung by Jay Melody.

Who wrote the song ‘Mara Ya Kwanza’?

The song ‘Mara Ya Kwanza’ is written by Jay Melody.

Who produced the music for the song ‘Mara Ya Kwanza’?

Music of the song ‘Mara Ya Kwanza’ is produced by Jay Melody.

Recently Added Lyrics

Disclaimer

“This concludes the lyrics of Mara Ya Kwanza” by Jay Melody. The lyrics shown here are intended purely for educational use. We honor the work of artists and stand against copyright infringement. If this song resonates with you, please show your support by engaging with the original creators.

If you find any errors in it, please feel free to submit the correct version via the Contact Us section.